[ad_1]

We have successfully recovered a stollen motorcycle. Mnamo tarehe 5 mwezi April 2019, dereva bodaboda alikabwa na majambazi watatu muda wa saa tano usiku na kumnyang’anya pikipiki aina ya TVS Nyeusi yenye namba za usajili MC711CCV na kutoroka nayo kwenda Morogoro mjini. Kwa haraka jana tukaanza kufuatilia na kufanikiwa kuwakamata wezi wote watatu wakiwa njiani kuelekea mkoa wa Tanga. Usalama wa mali zetu ni muhimu. Karibu tukufungie GPS tracking system kwa bei nafuu kabisa.

[ad_2]
Source