Pata ulinzi wa gari lako, bajaj yako, bodaboda yako kwa kutumia mfumo wa ki digital yaani gps tracking system Tanzania huduma inayotolewa na Chino Asset Tracker kutoka Chino Technologies Dar es salaam, Tanzania. Mfumo huu maalum kwa ajili ya kufuatilia mwenendo wa chombo au mali yako. Mfumo huu unasaidia katika fleet management. Kwa huduma hii ya car track Tanzania utaweza kuona kila mahali gari lako linapokwenda au lilipotoka. #gps tracking Tanzania #chino Asset Tracker Tanzanian # real-time tracking #car tracking #vehicle tracking #fleet management Tanzania #fuel tracker #vehicle tracking system Tanzania.