• Tunafunga GPS kwenye TV, Laptop, Sabufa, Music Systems, pikipiki, Magari, Bajaj, trekta na mali yoyote ile kwa gharama nafuu.

 1. Utafahamu kila mahali gari lako lilipo, lilipotoka, na linapoelekea
 2. Unaweza kulizima gari au pikipiki yako kupitia simu yako au computer yako
 3. Utaweza kuzuia gari lisitoke au kwenda sehemu flani, mfano gari lisiende Bagamoyo, au gari lisitoke nje ya dar es salaam
 4. Unaweza kuzuia gari lisitoke nje ya barabara flani, mfano daladala ambayo inafanya safari za Buguruni kwenda Mbezi kupitia Ubungo, unaweza set isitoke nje ya hiyo barabara wakati wa kazi hadi jioni wakiwa wanaenda kupaki
 5. Utajua route zote za pikipiki au gari yako iliyofanya kwa siku hivyo itakusaidia kujua mapato ya chombo chako cha moto.
 6. Unapata report za kila aina mfano Overspeeding, late parking, etc
 7. Simamia biashara yako kiganjani, Utaweza kujua matumizi ya mafuta
 8. Ulinzi kamili, Utaweza kuset kwamba gari usiku lisiwake hadi asubuhi muda utakao mwenyewe.
 9. Linda uhai wa chombo chako, GPS itakukumbusha muda wa service wa gari yako
 10. Epuka faini zisizo za lazima, GPS itakukumbusha muda wa kulipia sumatra
 11. GPS itakukumbusha muda wa ku renew leseni ya dereva
 12. GPS itakukumbusha muda wa ku renew Bima ya chombo chako
 13. Unaweza set kuwa gari isitoke nje ya gate au isiondoke eneo ambapo imepaki, na ikiondoka inakutumia SMS na Email
 14. Itasaidia kufuatilia gari au pikipiki ikiibwa
 15. Inasaidia kuzuia matumizi mabaya ya gari mfano mtu kwenda safari ambayo hajaruhusiwa.
 16. Utafahamu hali ya barabarani kama kuna foleni au hakuna.
 17. Utatumia Google map na real time Satellite images.
 18.   Cargo/Parcel dispatch model
 19. Komesha wizi wa mafuta ya gari, pikipiki, Tv, na mali mbalimbali
 20. Zuia matumizi mabaya ya gari au pikipiki yako
 21. Chino GPS inatuma taarifa sahihi za gari lako kwa wakati kila baada ya sekunde 5.
 22. Fahamu kilometa gari ilizotembea kila siku muda wowote
 23. Utapata report mbalimbali kwa njia ya email na SMS
 24. Ni rahisi kutumia Chino GPS System 
 25. BONYEZA HAPA CHINI KUONA BAADHI YA MAGARI, PIKIPIKI, TV, DALADALA, UBER, TAXI, TREKRA, KILIKUU, ZILIZOFUNGWA GPS ZETU demo.chinotrack.com