[ad_1]

Chino Asset Tracker inakuwezesha kufanya mambo mengi kwa ajili ya usalama na uhai wa chombo chako cha moto:
1. Kujua kila mahali gari linapokuwa, linapokwenda au lilipotoka.
2. Kupata taarifa kila mara gari linapo jazwa mafuta, utajua ameweka mafuta lita ngapi na ametumia sh. ngapi
3. Endapo kama mafuta yakiibwa system itatuma email moja kwa moja kukupa taarifa juu ya tukio hilo muda huo huo.
4. Utaweza kuzima gari kutokea mbali.
5. Utaweza kujua hali ya gari na matumizi yake, itakua inakukumbusha muda wa kufanya service unapokaribia.

[ad_2]
Source