Another huge success for chino_asset_tracker_gps_track. The best vehicle tracking company in Tanzania Ndani ya masaa mawili tumeweza kuikamata pikipiki iliyoporwa maeneo ya Sinza. Leo majira ya saa mbili usiku dereva bodaboda ameporwa pikipiki aina ya Boxer yenye namba za usajili MC246CCR. Tumeifuatilia kwa haraka na kufanikiwa kuikamata maeneo ya Kimara, bonyokwa karibu na shule ya Veritus. Chino vehicle GPS tracking system  in Dar es salaam, Tanzania remains to be the best tracking company in the industry with thousands of prospective customers.

[ad_2]

Source